Thursday, October 24, 2013

Welcome to Grandmag Online Store



.

 Tutakuwekea TV yako ukutani bila malipo ya ziada mara ununuapo Flat Tv na Wall Brackets Kutoka Grandmag Store.(we will install it on your wall for free when u buy a flat tv and wall brackets from Grandmag store)
Tv hizi aina ya samsung zenye mfumo wa kidigitali na nyingine nyingi zinapatikana kuanzia ukubwa wa inch 23 na kuendelea wasiliana nasi sasa kwa offer za Christmas na mwaka mpya
Rice Cookers pia zinapatikana kwa bei nzuri kuanzia 55000/=Tsh (Rice cookers are also availabe for chiep price of 55000/=Tsh only)

Fridges za kisasa kabisa pia zinapatikana wasiliana nasi kwa punguzo la bei kwa ajili ya christmass na mwaka mpya.(best new fridges are available contact us for discoun offer for christmass and new year)

Kwa mahitaji yako ya furnitures za kisasa za chuma ambazo zinatengenezwa hapa tanzania usisite kuwasiliana mali hizi made in tanzania zinatengenezwa kwa orders na ni furnitures zenye ubora wa kimataifa.

1 comment:

  1. Samsung " F Series4000 LED TV's 28 inch = 600,000Tsh
    Samsung " F Series4000 LED TV's 32 inch = 750,000Tsh
    Samsung " F Series5000 LED TV's 40 inch = 1,200,000Tsh
    Samsung " F Series5000 LED TV's 46 inch = 1,800,000Tsh
    Samsung " F Series8000 LED Smart TV's 46 inch = 3,600,000 Tsh

    ReplyDelete